Mapepo Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mapepo - Echo 254
...
yeye they call me echo wanangu mizuka imepanda sherehe wapi leo twende najiskia pepo limepanda leo magetoni walale wanga wanangu mizuka imepanda najiskia nihame luanda najiskia nkajenge kibanda nkauze majembe na mapanga sijui nikaleewe tokedi mama nileelewe najiskia nipige keelele najiskia sifa welewele najiskia Nkasrike najiskia nicheke najiskia ni ahh najiskia ni ahh najiskia Nkasrike najiskia nicheke najiskia ni ahh ahh ni ahh jamani mwenzenu nina mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mabay mwenzenu nina mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mabay jama mwenzenu nina mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mabay mwenzenu nina mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mabay beat najionaee mwenzenu kama hizi breki zinakataee najionaee mwenzenu kama nina jini makata najiskia. ningowe mabati nyumba ibaki wazi nilale nkisimama nawaza bosi anifute kazi nimvunjie nazi atembee uchi mchana na nyumba ni honge ninunue gari nikagonge sijui niuze makonge au mi mwenyewe nijiroge nawaza nimtongoze mama mkwe npande garofani nijirushe au baharini nkajitupe sijui nisimame niinuke najiskia Nkasrike najiskia nicheke najiskia ni ahh najiskia ni ahh najiskia Nkasrike najiskia nicheke najiskia ni ahh ahh ni ahh jama mwenzenu nina mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mabay mwenzenu nina mapepo mapepo mapepo mapepo mapepo mabay ......@driller. wrote. this ...