![Watangoja](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/22/11af239c211b4cb782833f1457ced961_464_464.jpg)
Watangoja Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Watangoja - Echo 254
...
mmmmh mmmh...
si alisemaga mimi sio level yake sinaga nafasi
kwenye moyo wake ...alisemaga nisijipe tabu nisijisumbue nifanye kama ndoto...
ayooo ayo ayooo
ndio yanaitwaga mapenzii
ayoo ayoo ayooooo....
kama ukipenda usipo pendwa utaumia
mnapingwa na siyo ya kuvamia..
mwenzenu mm changu kipenzi beer
niliacha ushenzi kutwa kujililiaa
aaaay nasaka hela
nikipata ndio nisake deraa..
aaay I'm no a failure
niko radhi niitwee kabwelaa..
wanaulizaga hivi shemegi yao nitampost linii...
bado watangoja sanaa...
walio nitongozaga wanauliza ivi jibu ni lini....
bado watangoja sanaa..
watangoja ×5
bado watangoja sana
watangoja
watangoja
watangoja
watangoja....
BADO WATANGOJA SANAA
WAPO WAPO WAPO
KUNAO HATUNA MIGETO
WAPO
WAPO WAPO WAPO
KIPINDI KILE UNA NYINGI SHIDA WALIKUPA
MOYO USICHOKE UTASHINDA
LEO UMEJIPATA WANASEMA UNAVIMBAA
HAVINA MUDA ULIHUSISHA NDUMBAA
EEEEH KUNA WATU WANA ROHO ZA KOROSHO
ULEJE KUKU WAO WALE KIKOSHOO
WATAKUZIKA NA MAWE KOKOTO NA SIMITI WASIEEKE KIDOGOO
NDIOO MAMBOO HAYOO YA WAJA
MABAYA NDIO WANA YAWAZA
MENGINE YAKO NYAMAZA
WE SWALI MUOMBE MUNGU BABA
AAAH KUNA WATU WANAKERAA
WANAWAZA UWE KWA MACHELAA
AAAAH MPERAAA MPERAAA
WATASUBIRI WATANGOJEAA
WANAULIZANA ILE DAWA
ULO TUMA HAIJA FIKA ULUNII
BADO WATANGOJA SANAA
WANAO SUBIRI NIFE NDIO WAJE
WACHEKE KABURINII
BADO WATANGOJA SANAA
WATANGOJA
WATANGOJA WATANGOJA
WATANGOJA
BADO WATANGOJA SANA
....