![Unaweza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/23/20c52ab6fcc94dccabd00101dc2b38ea_464_464.jpg)
Unaweza Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Unaweza - Echo 254
...
mmmh, mh,mh,mmmh
unajiuliza vipi, mbona haufiki, wapi unafeli ama ndo hauna nyita
sio wa karamu wa sufuri moja ,mchangani mbegu imeshindwa otaa
unatamani usinge zaliwa,
unaiona chungu dunia,
wanakusema umefulia
kwa matatizo unayopitia
mmmh mmh
kuna muda unakata tamaa
unajiona hauna mana
kisa unashinda njaa
mmh mmh
kazi zenyewe mabalaa
unaenda Mara unarudi bila
nyumbani unategemewa
uooh ooh
Dunia tambara bovu, pesa zalishaungua
na walimwengu wa sasa, wapo kiijua mvua
mh mh jipe moyo, amini ipo siku nawe utapata tu
jipe moyo ,amini kwamba Mungu wetu sote,
amini
naaweezaa (unaweza),(unaweza)
aya yote Maputo, Maputo ooh
kuna masikitiko tiko uooh
shida tumeumbiwa sie ,ilo ujue
kama kusemwa ujanza wewe ilo ujue
binadamu ndo walivyo, utende jema utende baya utasemwa tu, binadamu wako ivo
mmh
labda ata viatu Una ,upo upo tuu..
Adi unatia huruma, upo upo tuu..
ila Mola ana Saba ya kukuleta (duniani)
ila Mungu ana sababu yakukuleta
amini Kama yule kapewa,
nawe pia utakuja kupewa
amini Kama yule kapewa,
nawe pia utakuja kupewa
jiamini kwamba ,unaaweza (unaweeza)
amini kwamba ,unaaweza (unaweeza)
amini kwamba ,unaaweza (unaweeza)