![Baraka Zangu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0A/5E/rBEehlrUUUWAZ79LAACctbKT8hU451.jpg)
Baraka Zangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Baraka Zangu - Rebecca Soki
...
Emb records
Mara nyingi moyo unakataa
hata damu unashindwa kusukuma
nikiwaza mengi nimepitia
Ila Imani ndio inanisukuma
bado nangoja
bado nangoja
bado nangoja
napata kizunguzungu sana
ninapata kizunguzungu
sometimes maisha inakua ngumu sana
hata nimekosa nguvu
lakini nakumbuka ahadi zako ahadi zako
tena nakumbuka matendo yako matendo yako
uko mwaminifu ukisema unatenda
wewe ni mwaminifu kwa ahadi zako
zile baraka zangu Bwana zile baraka zangu
bado nangoja
na zile baraka zangu Bwana zile baraka zangu
bado nangoja
na zile ahadi zangu Bwana zile ahadi zangu bado nangoja
zile zile,,, bado nangoja
shughulika na hali yangu nimelala sakafuni
Kwenye baridi mateso mengi
shughulika na hali yangu
najua Mwokozi huji mapema wala huchelewi
nimehustle hustler miaka kadhaa
nimetokwa na jasho jasho nikitegea
tena kama Daudi
tena kama Esther
Bwana nakutegemea Mungu nakutegemea
zile baraka zangu Bwana zile baraka zangu
bado nangoja
na zile baraka zangu Bwana zile baraka zangu
bado nangoja
na zile ahadi zangu Bwana zile ahadi zangu
bado nangoja
zile zile bado nangoja
tegemeo la moyo wangu ni wewe Yesu nangoja
tumaini la moyo wangu ni wewe Kristu
nakungojea nakungojea nakungojea nakungojea
zile baraka zangu Bwana zile baraka zangu
na zile baraka zangu Bwana zile baraka zangu
bado nangoja
na zile ahadi zangu Bwana zile ahadi zangu
bado nangoja
zile zile bado nangoja
producer Paulo