Koleza Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
Lyrics
Koleza - Izzey boi
...
izzey.
its Dady again
mhmmm
uwe kwa juu uwe kwa chini,
utamu unanimwagia,
unapo lala kifuani
mwenzio ndo nazidiwa,
bira filter, bira iphone,
mapicha yana vutiaa,
umeniloga mganga gani ,
we mama siutaniuaa,
kwa mana unanipa,
vitamu, aaheeh
sugunyo kwa bedi
minacome , aaheeh
vyakitanga zenjii
ooohyee,
ukinuna ukicheka,
tabasamu
usiku mchana,
nipe game ,
Yamoto bediii
my baby koleza
kole kole,
kolezaa
kole kole,
my baby koleza
kole kole ,
kolezaaa
my baby koleza
kole kole
koleza
kolekole
my baby koleza
kole koleeee
kolezaa
my baby kolezaaah
instrumental ...
umenikamia
yaani umenishika vibaya
( vibaya ),
nikupe duniaa,
mamy chochote nisawaaah,
bas ni touch touch
waumie roho (aeeh)
kuch kuch
baby tequero (aeeh)
sikuachi ,
hata useme noo
oouh ouuh
navile upo beaut,
shape kangaroo (aeeh)
chocolate
color vidimpo (aeeh)
ukinishika
Moyo wanguu puuuh uuh uhuu
oyeeh
ukinuna ukicheka,
tabasamu
usiku mchana,
nipe game ,
Yamoto bediii
my baby koleza
kole kole,
kolezaa
kole kole,
my baby koleza
kole kole ,
kolezaaa
my baby koleza
kole kole
koleza
kolekole
my baby koleza
kole koleeee
kolezaa
my baby kolezaaah
.. . . ..
izzey boi on this one
mmmh
oyaa weeh
ukinuna ukicheka
usiku mchana
yamoto bediii
instrumental .. ...
the perfect wave ,