![I miss you](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/04/8ae1ef7938074fd6bec4e53e17c6d4d9H3000W3000_464_464.jpg)
I miss you Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2025
Lyrics
I miss you - Izzey boi
...
MMMH
IZZEY
Nishapunguza ubabe kusema kweli nimekumiss
nimechoka kujifanya jeuri nimekumiss,
toka umeondoka mchumba
akili imeluzii imeyumba
yan sijatuliaa
moyoni mi naumia,
ni liforce nikupende nikupost nikuweke DP
changu kidogo nikupe gift,
umeondoka umeniacha ivi
aah
Umeniacha na unyonge,
homa si homa nahisi BP,
inashuka inapanda babeii,
wangu wa ndoto umekuwa adithi
kusema KWELI INAUMA,
i miss you
I MISS YOU
I miss you
Moyon hujanitoka
i miss you
I MISS YOU
I miss you
Moyon hujanitoka
ooooh nono ooh ooh nonoh,
Umeondoka umeniacha mwenyewe
ulisema ntazikwa na wewe
usiku silali nakuota wewe
IMISS YOU
mmh
umenifanya chapombe nilewe
raha yangu imesepa na wewe
maumivu makali nikikuwaza wewe
I need YOU
mmmmmmmhmmm
i wish nasiku zirudi nyuma,
oooh babe,
yale makosa nilokosa nisikose tena,
oooh mweezioo,
nakunywa pombe nikusahau,
ila nikilewa nakupigiaa ,
et mwenzagu, umepanda, dau,
mie nautoto , unanikatia,
Umeniacha na unyonge
homa si homa nahisi bipi
inashuka inapanda babeii
wangu wa ndoto umeguka adithi
Umeniacha na unyonge,
homa si homa nahisi BP,
inashuka inapanda babeii,
wangu wa ndoto umekuwa adithi
kusema KWELI INAUMA,
i miss you
I MISS YOU
I miss you
Moyon hujanitoka
i miss you
I MISS YOU
I miss you
Moyon hujanitoka