Forever Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Forever - Izzey boi
...
. MMMH IZZEY
uuuh uuuuh
ononooh
oooh
oooh
hivi we ni malaika,
maana uzurii wako,
unanichanganya i swear,
unanivurugaa i swear,
nishakutana kila rikaa,
ila wee umeumbika,
navile twaendana ka pea,
nikikosa unanisamehe,
yaani akitoka mama,
unafataaa weweee,
kwangu moyoni,
oooh babe
wengine mi sitamani
maana unanitosha ,
sio sili unanikosha,
yaani foreva mi nawe
nibaki nawewe
usiniache mwenyewe
nitambe na wewe,
yaani foreva mi nawe babe,
nibaki nawewe
usiniache mwenyewe
nitambe na wewe buu,
uuuuh uuuh,
ooaaah
oooh ooh
aeeyiiiih
kama davido nimempata chioma,
shavu nene mwili hauna homa,
nanepa nyie wenyewe mnaona,
mnaona jmn mnaona
ananipa nyama mixa na vimboga mboga
iyeeeeh,
ugali wasembe ananichanganyia uyoga,
iyeeeeh
hadithi uongo njoo utamu kunoga,
aiyeee iooooh,
kama mapenzi Asali,
pekeangu na ilamba
January to December
uuuuuuuuuuh
akitoka mama,
unafataaa weweee,
kwangu moyoni,
oooh babe
wengine mi sitamani
maana unanitosha ,
sio sili unanikosha,
yaani foreva mi nawe
nibaki nawewe
usiniache mwenyewe
nitambe na wewe,
yaani foreva mi nawe babe,
nibaki nawewe
usiniache mwenyewe
nitambe na wewe buu,
uuuuh uuuh,
uuuh uuuhuu uuuh
ANNETH
OYAA WEEEH,