
Huu Mwaka Remix w/ Dayoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Huu Mwaka Remix w/ Dayoo - Rayvanny
...
Huu Mwana eeh ndo mwaka wa kuforce
Yan mtake msitake huu mwaka mtanita boss
Oya sietieeeeh
...........
Mmmh
Chui
........
Ololololo ohhh ahhhh olo
Mafeeling record ohhhh
Huu mwaka ehh ndo mwaka wakuforce
Mutake msitake mtaniita boss
Huu mwaka ehh faida siyo loss tushalala njaa
Huu mwaka mwendo wamisosi
Sisi mungu anatulinda japo maadui wengi wanatuwinda vitanyingi ila tukashinda tushanyanyasika huu mwaka mwendo wa kuvimba aaehhh
Huu mwaka nanunua gari niwape lift ameen
Huu mwaka namaliza nyumba yangu kibiti ameen
Huu mwaka wamajonzi kwa ex alonisaliti
Siku ya harusi yangu msimpe hata juice yee anikomeeh
Huu mwaka ehh 4
Ahh huu mwaka ehh ndo mwaka wakuforce yanimtake msitake mtaniita boss
Huu mwaka ehhh 4
............