![Situation ni mbaya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/19/5af01a6d89374e2da9e3d46c5bf0feae_464_464.jpg)
Situation ni mbaya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Situation ni mbaya hakuna control
Nguvu nayo haitoshi jeshi ni bigi na wako on smoke
Ushai kujiwa na mbogi ukajipata hadi huwezi talk
Mimi nimekula ngori hakuna siku mi naeza flop
Mi huzoza on my lonely rusha kiright hii hook ikudrop
Game nimekuwa on go for a minute manze nlikuwa the top
Nimechezesha jo rima saa ninaona masigns nistop
Lakini kama sio mimi nani atamake io trap ibop
Brick ililand visexy kiasi tu mimi nabro tuichop
Tubonge weight mzing unacop? Usilete ufala juu mi ntakupop
Ujinga mmejaribu wengi lakini leo hio pic naicrop
Lakini leo msicheze na mimi juu nikona kitu sharp hapa nditni
Mafala wamekuja kufight in twos we jua mi sipiganingi
Fala alikutwa na blizzy hakuamini kijana ni chizi
Beef imekuwa haiishi labda mkuje mtuweke chini
Labda niekwe bana jo kwa ground ndio siku hamtaniona around
Till then hii beef niko ndani
Uliza kuda tulifanya nini
Ai 30
Niko fine naskia maridadi what the fuck rada ni gani kuna mangwai nmejaza kejani huu mwere akimuoket anaku jo mali ye akitokea ni sawa akuje kuchezesha nimeenda shule piga kipuff usngoje zishuke na zikikushika mzing usishtuke
Mi nataka manze wanijute funga mdomo zibaki jo muted hizi streets mi niko suited
Nikona gode manze niko zooted and the plan was well executed 30 the don very well reputed hii moshi inaleta pollution bado navuta story concluded