![30 Flow ft. Blairr](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/19/cbe5679447bd41b5b862821e6476e9cf_464_464.jpg)
30 Flow ft. Blairr Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
What's the rada? wheres Rizzy
Twende stu? We dungia Blizzy
Niko kijiji nasambaza mali imebaki wajue narep thelathini
Zero pressure kama tizi
Pop pill chunga usichizi
Bro stock iko, na iko kwa wingi hii trap ikijipa mi nitago silly
Nago dumb, nafeel dizzy
Nimeseti ngwai kaa sitini
Of course atatalk io talk but asitry jo kuwalk io walk kwa hii jiji
Mi ni fathe mi ni kingpin
We ni mtoto yaani pikni
Kubonga utabonga nani lakini bila trap ya 30 hamna machingri
Ye ni mouse ako squeaky
Nimejipin namwacha leaking
Bro kwa side anaback io big ting juu tukislide situation ni sticky
What the fuck we nani
Mbona unakaa jo bani
Fala amekam kutrap na obviously ye ni fed hii shit ni funny
Niko trap namove weight
Makilo mi nikona stake
Post io pic, thought she ate, real life anakaa kaa cousin ya drake
Always early never late
Ukinicross mi nakuerase
Huwezi nishika they all tried one time wakashindwa kukeep up na pace
Naisaka, paper chase
Hii game huwezi relate
Hii si race jo ni relay nikipassia bro hawezi delay
Doba za 30, replay
Flow ya kwangu imekuama kwa brain
Lick ilipigwa bila adi stain maboys wako njaa hakuna kumblain
Breathe out maintain
Breath in na usicomplain
Kukuja watakuja na mbogi kuslide na slide day to night, sun or rain
Day to night, sun ama rain, naget hio chingri
Mi na 30 kwa stu na mashada kwa wingi, mtu wangu hii shit nikaa tizi
He the plug, i'm the socket, so you know the shit that you smoking do really be silly
Shawtie love me, but she on't even know me for real, the first time she asked me, i told her, i'm Blizzy
I got pain
I see things
Shada ni shida imekwama kwa brain, juu ya vitu huwezi relate
Opp wao hukwanga ontime, juu ya vile wao hukimbia hawakuangi late
Shawtie she really a ten, but blizzy consider her as an eight
Glock nimeseti kiswitch, hii shit nikipull itakufunga kaa zip
Niggas be running they mouth on the keyboard, but really they ain't typin shit
30 gon' handle the rest I already put him on with the bricks
This shit already a hit
This shit already a hit
This shit already a…, 30, Blizzy