![30's Intro](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/05/70b46ca11a9641b287fd3775d4d2ab53_464_464.jpg)
30's Intro Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Cheki whats the rada
30 kwa track nimekam kukusaka
Real dopeboy turned to a rapper
Exodus szn ni doh tunataka
Kazi ni kazi so mali nauza
Kam na babako huwezi niguza
Alikula madent tulimuuguza
Jo boronja mi nakuchafua
Whats the lo
Mi nilimwona tu mimi na zo
Ili
Ilibidi nimsho control io temper utakula mablow
Wewe
We hukuwangi on go we ni liar mbona unacap on bro
Designer
Dripped out natokea show design nina pesa najua inashow
Njia 30 za kukufa siku 30 bado beef haijakufa
Mtu 30 kwenye bukla gode 30 so sivuti na pupa
Cheza na mi utajuta cheza na Mg tunakutafuta
Mali imerise na mafuta bado ni gas shash siwezi vuta
Gomba ya 30 aluta 30 nkiroga naharibu speaker
Of course leo zimeshika off some pills tei we itisha
Zabe ni shash na rizla chunga manze usipatwe kwa giza
30, rizzy na the niggas chunga usitrip ndenga ni sita
Posted usiku saa tisa wera nasaka guap ya mchina
Chunga usimess mziza huku utamezwa huwezi bakishwa
30 bana anaringita jo narewesa bana nachachisha
Ukisoma bibilia morio anzenza wa jesus ni peter
Nani bado ananiita thought by now message iliskika
Kuroga bado nawatoa ni fact of course inakubalika
Chest jo napiga piga game nacheza kaa chess si fifa
Madawa kwa wingi mziza dawa za kwangu zitakumaliza
30 hubaki on toes 30 hubaki jo out of control
30 hushinda on smoke 30 hupenda kuflex
na doh
30 bands need 30 more 30 maze sifuckingi na hoes
Main rules dont run dont trip kuzoza na mimi theres 28 more