Isabella Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Isabella - Denoz
...
Heh Denoz!
Eeh eeh
Leo nataka mumjue
Alienifanya niimbe
Ya nini kuficha ficha
Kwani sisi magaidi
Nampost shemu wenu
Anaenifanya nivimbe
Ya nini kuficha ficha
Kwani sisi magaidi
Aah
Chakudeka wangu
Mutoto ya mama
Punguza mideko
Ah Unanipagawisha
We chaguo langu
Nakupenda bwana
Hicho chako kicheko
Dah! Kabisa nimekwisha
Njoo nakuita (isabella)
Eti unauchuna (isabella)
Mara unachekaa (isabella)
Unanimaliza
Charaza guitar (acapella)
Nikuimbie (isabella)
Sema unachotaka, nina hela
Nitaagiza
....
Niwaambie (eeh!), huyu ndiye (enhee!)
Shemeji yenu wa sasa
Ana maringo huyu, (weeeeh)
Simnamwona anavyonata
Anipenda, nitulie
Nisijekutoka kapa
Hata wapige nduru
Ntajificha hapa hapa
Chakudeka wangu
Mutoto ya mama
Punguza mideko
Ah! unanipagawisha
We chaguo langu
Nakupenda bwana
Hicho chako kicheko
Dah! kabisa nimekwisha
Njoo nakuita (isabella)
Eti unauchuna (Isabella)
Mara unacheka (Isabella)
Unanimaliza
Charaza guitar (acapella)
Nikuimbie (isabella)
Sema unachotaka nina hela
Nitaagizaa
I just wanna say
I do love you baby
Isabella
Njoo nakuita
Eti unauchuna
Mara unacheka
Charaza guitar
Nikuimbie
Sema unachotaka
Nina hela , nitaagiza
...
(Lyrics by; Denoz)