Happy Birthday Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Happy Birthday - Denoz
...
Aigoo
Denoz
Kisura
Leo ni leo asemae kesho muongo
Siku yako ya kuzaliwa
Aaaah
Akina ashura
Carolina watakupa teso udongo
Tope maji kumwagiwa ah
Aaaah
Na hio cake ntakupaka
Shavuni Mpaka mdomoni
Juu utarushwa na kudakwa
Tukurudishe utotoni
Ndani ya gauni la kuwaka
Baby you de chop my money
Mbele ya daddy, mama, kaka
Rafiki zako akina tony
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you wowowoh
Umetimiza mingapi miaka
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you wowowoh
Ulipozaliwa wapi dada
Basi tuambie
How old are you now baby don't lie
Je unataka nini
Maziwa ya mama uji ama chai
Dance for mi eh
Wala usione jau don't feel shy
Shuka mpaka chini
Kama unaiokota eh
Ukijidai
Yani ntaku post wakuone wivu waone
Ulivyodamshi chezea (weeweeh)
Nyama choma tuchome mpaka wakome
Tunavyowaoshea (weeweeh)
Na hio cake ntakupaka
Shavuni Mpaka mdomoni
Juu utarushwa na kudakwa
Tukurudishe utotoni
Ndani ya gauni la kuwaka
Baby you de chop my money
Mbele ya daddy mama kaka
Rafiki zako akina tony
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you wowowoh
Umetimiza mingap miaka
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you
(happy birthday) to you
wowowoh
Ulipozaliwa Wapi dada
Muda wa keki umewadia (ewaaah)
Nyama steki champaign bia (ewaaah)
Kata na keki my dear tulishane oyoyo
Nami nimekuzawadia (ewaaah)
Japo maji ntakumwagia (ewaaah)
Cheza kwa kujiachilia usijibane wa moyo