Niko Tayari ft. Damian Soul Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Well
I'm loaded already
Bado ni kijana but my life so wavy
Mishe kibao na ndio maana niko steady
You know since a long time we've been ready
Kabla OMG moro town na kina Fredy
Nimeshachana sana na its time kuchukua mabegi
No braggin napambana na sijui ku begging
And i dont fear non but GOD i know he heavy look huh
Mziki kwangu kama place to be
I had a plan but always had a plan B
Nilifeli shule ila mziki ndio ikawa mishe
Na sio mziki tuu mchizi nina other missions
Nishawekeza kwenye udongo nishawekeza kwenye miti
Nafanya tuu maokoto ili mradi nisahau dhiki
Nimetoka mbali nikiwaza sijakuwaga hivi
Na naenda mbali usinione tuu ka nimesizi
I'm ready ready ready
(Yes I'm ready ready ready)
Niko tayari kweli kweli kweli
(Yes I'm ready ready ready)
I'm ready to fly
I'm ready to shine
I'm ready to go
I'm ready to flow
Huh! Nilizaliwa kuwa mshindi I'm always ready
Macho kwenye paper wala sija focus kwenye credit
Usiku silali nawaza mbali where I'm heading
Na sio kuwaza naenda ifanya coz I'm ready look
Maisha yangu sio movie huwezi edit
Mungu alishatoa baraka zake already
I'm so ready huh! Najua ni yangu siwezi fail
Hii vocal ninayoichana huwezi kuipata tuu kwa fegi huh
Mi niko studio time hii watu wana party
Usiombe chance yoyote ikakutana na utayari
Kila dakika ujue kwangu naiona mali
Na wala siogopi kufa naogopa nisipoacha mali
Sichagui kazi mnyamwezi nawaza paper
Hakuna utozi chafu pozi ka bill nenga
I'm ready kupambana ili mradi tuu niwe straight
Home tumesota sana its time now tuwe okay
I'm ready ready ready
(Yes I'm ready ready ready)
Niko tayari kweli kweli kweli
(Yes I'm ready ready ready)
I'm ready to fly
I'm ready to shine
I'm ready to go
I'm ready to flow