Above Average Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Itro
Yo! Yo!
It's Conboi
Verse
It took me alotta' time , kutafuta inspiration
I'm chillin' outta town , nikifanya meditation
Nikiwaza situations, whats goin' on right now
It's 4am na watoto they probably sleep by now
Back in days when i was young i'm not a kid anymore
Sasa hivi nishakuwa bro, i gotta' be careful
Na nishajiwekea goals, na sintoziwekea pause, na hakuna wa kuni' control , i feel like im gettin' so close
No body knows , but i had to talk , me and god
Told me there's a two types of people, me and ya'll
My thoughts can be so powerful, nionyeshe niki' flow
Ndio maana hizi verses they so dope , just lemme go
And show them now , let 'em know what's goin down
Con' ni mastermind and i'm so ahead of my time
Na hii ni different sound, sio ile ya dick sound
Masihara tukiwa nyumbani ila booth ni battle-ground
Uta bow down!, wala sifanyagi masihara
Ni OGK hatuvutagi masigara
Mademu wakali wala hawapakagi maskarah, tuko nao hatuna habari muulizeni mtu imara
Na hatu post insta ,hatupendi sifa
Usiombe siku we havin' a party kisha tukakualika
Kama unabisha, unaweza kumkuta your sister
Akimwaga radhi huku nikimshika, nikimfanya mchicha
Yani mboga!, confidently yani bila ya uoga
Wazee wakazi huwa hatupendi soga, litakufa jitu ndio ishakuwa slogan, nilisha' hustle ka' mwanangu tona, im so official inabidi ulipe kuniona
Huh! Ushafikia wakati me na washkaji we got things to prove
Maana hata waigizaji ndio waimbaji siku hizi kiki tuu, na hawawezi mziki huu
Not a hater but i speak the truth, wanaimba ka' wana flue ,wakatafute some other things to prove
Nani asiyejua wabongo wanapenda kuwa na ego
Wanadhani kuwa they know better than most people
There's no equal, on how we be reppin for the people
Milele nitabaki juu kama steeple, na hata nikiwa sipo
Im the best who ever did it, shit is real biggie
Ni wazi nnaonyesha im so greedy
Kama ngwear na chidy, 120 kwenye corner speed, sasa mimi ni 360
Huh! Matter of fact niko mstari wa arobaini na moja, watu washabaini kuwa noma , ila wanauliza!
"Unangoja nini?, umesanda ama nini?, mbona wenzio wakina salmin na lunya
Tunawaona ila wewe kama umeuchuna?, samahani kama itakuuma, ila tunakuona ka' uko nyuma, na mashabiki si' tunataka vyuma tuachie uk..."
Awwww!! All i can say i ain't even got to say shit !
Muda ndio teacher na mm always i respect it
Only by god's grace ndio i made this far, thus far, for real i need his plus ya'll
True that, we dont try ndio maana tuko so steady
Me and my two niggas we like ed,ed and eddy
Already tushakuwa ni icons tell the radio to play this
Awww! Baby , tunafanya ngumu ila wanapenda them ladies
Uuuuh!, now watch my moves sio kingine but the truth, when im in the booth michano inakaa kwenye kila groove, and i already prove it
Hii game ya bongo inabidi tuikuze, sisi hapa, dunia ndio ita' amini fasta
Tofauti kati ya mimi hapa na hawa marapa rappers wanaojiita trappers
Wao ni knee slappers nasema kwanza wao wana' repeat after
Nimeshaona mengi sijawahi ku skip chapter
I learn this game toka joh makini ni rapture
Never sell weed coz' ni weed master, smoke too many unaweza jua ni rasta na ukiniona tozi unaweza jua wakacha
Huh! Now watch me do my thang
You can tell music on my body i got love for the game
Mayne ! It's been flowin' in my veins i can't complain
Bado sijapata gari ila hii flow italipia madeni
Goddamn! Goddamn, man!
Kwa jinsi nilivyo dope wanadhani nimetua na plane
Xbox kwenye droo just to show them that i ain't playin', na hili dude ni mkosi times ten
Mayne! Long Ass verse, long Ass dick too
Baby kuwa makini i dont think it's gonna fit you
You know my name hata kujitaja i don't need too, but them lames still askin' "who the fuck is this dude?"
Huh! Utaisikia tuu hii vocal , mistari kama mia siwezi kuingia ligue ndogo
Huh! Nawakanyagia hawataki kusifia mi' kiboko sana sana utawasikia "hatujalifikia hili soko"
Bwana mdogo ambaye nna' ndoto ya kwenda global, ikiwa tasnia yenyewe ni ndogo ila nnachowapatia ni noble na hii flow ni mogue
"Sorry!, ngoja niongee kidogo. Mbona kwenye tuzo za MTV hatumuoni mbongo. Hata wanaokwenda nao hawatoi michongo , ila sa' mbona wakienda hawaonyeshi usongo?"
Please! Don't make me look kama napitia migongo, ya watu huo ni uongo wala sitaki kuanzisha mlolongo
Naomba mungu mambo yangu yaende chini juu
Mjomba undugu kwetu sio kushare ubin tuu
Kama mwanangu ghafla bin-vuu, show kali ni kali hata bila shabiki aliyeweka simu juu
So nawaambia machizi so iko siko tuu itakuwa sikukuu
Sky is not the only limit it's just the area view
"How we do?", Nawaambia do you!
That's the only way way out , fanya mziki put it out , maana huwezi kutambua lini inakuja pay out, ukisubiri hand out hautoweza pan out
Nah! Real niggas hawajawahi ku' bent down, mwananume kaza kalio kabla hawaja ku' break down . U FEEL ME