Till i die Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Yo it's conboi you feel me
Luffa pass me that shit man
I'ma do this shit till die
Kusema tuu ukweli I'm never gonna stop
Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle
I ain't gotta worry about motherfuckin non
Coz hata nilipofika I never play
Came a long way na ilikuwa worst days
So the fuck now tryna tell me
Don't you see blood on my feet
Young nigga from the street
Working 9 days of the week
And I never go to sleep
A lotta shit I'm never gonna speak
Lost my mama tangu niko standard three 2003
Ngumu kuelewa coz ni wazi hata hajakuwa na me
Been through shits toka enzi nilipokuwa Rasheed
Smoking this weed to release this pain inside of me
Sometimes I wish my mom was here angekuwa proud of me
Usiku wa manane niko natafakari
Mgongo kwenye bed macho kwenye dali
Nawaza mbali nataka nyumba and that fucking rari
Ndio maana mjuba huwezi nikuta kwenye kila party
Sio hatari sometimes na wahuni tuki throw a party
Ujue ni baada ya kazi kubwa na wala sio zali
Celebrate poppin bottle tuki celebrate
Lame ass niggas whatchu tryna hate
I'ma do this shit till die
Kusema tuu ukweli I'm never gonna stop
Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle
I ain't gotta worry about motherfuckin non
Coz hata nilipofika I never play
Came a long way na ilikuwa worst days
So the fuck now tryna tell me
Don't you see blood on my feet
Deep in my thoughts tryna thinking bout this life
Na bongo bila ya mchongo ujue ni tight
I wanna make it right thats why I don't sleep at night
Hata ikiwa back to back everyday its alright
Its alright kwangu naona poa tuu mazee
Siwazi ka nachoka maana bado niko tee
Sometimes I hear voices in my head
Zingine zikinikiniumiza ilimradi nipotee goddamn
Hujiulizi why napenda tuu kusizi
To me its like a thrill sio kupenga ningekuwa chizi
Vitu vingine niliamua to take easy
Streess ikizidi naenda ufukweni to catch a breez
Utani wa nini kwenye kazi za watu
Kama kweli unajiamini usiwe muumini wa wafu
Ungana na mm ukiamini ka muumini wa mashafu
Siku nnikitusua hapatakuwa na nguvu ya watu
Jitihada zinakuwa zaidi ya mtoto anae tambaa
Asante mungu nmekuwa ingawa baba alinkataa
Siku mtupa nilimjua japo ndugu walishangaa
Ebhanae daah nasonga na sijakata hata tamaa
Ima do this shit till die
Kusema tuu ukweli I'm never gonna stop
Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle
I ain't gotta worry about motherfuckin non
Coz hata nilipofika I never play
Came a long way na ilikuwa worst days
So the fuck now tryna tell me
Don't you see blood on my feet