![UTELEZI ft. Ohms Law Montana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/31/690dd1d13cea4406a8cbbf1204ab9328_464_464.jpg)
UTELEZI ft. Ohms Law Montana Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Utelezi ndio ntaka kutoka kwako
Utam me ni nao mwenyewe
Utelezi ndio ntaka kutoka kwako
Utam me ni nao mwenyewe
Mtoto akililia wembeeeee mpe
Nshawai mpiga kendee karibu ni muee
Tangu ni mpe mapenzi ya kichizi
Siku hizi ni mchizi wangu
Hawezi iitisha shilingi
Ye uotea usingizi wangu
Me mwenye ata sina time
Lakini ye ujua time zangu
Nkitoka studio late
Nampata aki skiza ngoma zangu
So na cum live
Anafurahia ka fans wangu
Kisha me huyoooo
Nshampotezea anga zangu
I'm always on the grind
Ju niki mgrind lazima ntalipa
I figured it out
Hizi figure
Zinaweza kumalizia figures
I made it out
Chuom zengine siku hizi siwezi nkaingia
Si madharau
Siku hizi am a low P
Kinda caliber
Taliban
Fully loaded
Huwezi npata nkilia shida
But me ushinda
Na mkono moja mpaka na zima
Taliban
Fully loaded
Huwezi npata nkilia shida
But me ushinda
Na mkono moja mpaka na zima
Utelezi ndio ntaka kutoka kwako
Utam me ni nao mwenyewe
Utelezi ndio ntaka kutoka kwako
Utam me ni nao mwenyewe
Ni utelezi ndo nataka tu kwako,
Niko tofauti na mafisi sacco, yeah yeah!
Niutelezi ndo nataka tu kwako
Nahusika vipi na ma ex wako,,Ye
Ni utelezi ndo nataka tu kwako
Ni slide insta ni dabo tap o tako,
Ni utelezi ndo nataka tu nyako,
Staki vita na mababaz wako,
Nataka tu kuhave good times with you,
Sijasema you are my wife buh I fuck with you,
Nataka tu kuvibe nikikudunga tu,
Kama dexter kwenye lab na ma test tubes,
Nataka tu kuslide kama mabenda tu,
Utelezi ni kamasi Na unapenda too,
Motherfucker unaride, what's your agenda mkuu,
Our Lady of Mercy Mijikenda mtrue