![Hustle ni Hustle](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/20/725cda0410fc4b7b977b05802565ab3c_464_464.jpg)
Hustle ni Hustle Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hustle ni hustle
Hustle na hustle
Na hustle rehearsals
I'm an icon
The way i paint a picture
Buoy i feel like Picasso
But it's your buoy jahcob
Adisso got me hooked on marley n Pablo yeaaa
So I got the work too
Shenz type rich nigga
And guess what ????
I hustle
I stay armed ka kiganjo
Though i don't use my muscles
Nowadays I'm thinking big like Carson
Head on concussion
Pato la jasho eei
But pato ni pato
Na ukipata pato basi weka mipango yeaa
Ju pato ni pambo
Unaweza pata pato na ukabaki wa mapambo damn
Na kama mjuavyo
Sheikh ni yule yule kazi ndio brand new
I'm living ifaavyo
So if I die today no repercussions
I'm in to these fashions
It's kinda messy
Coz I'm dripping too much sauce yea
Mbiu ya mgambo aaah
Nakama hukuiskia we shauri zako yeaaa
Ju me si mwenzako
Wakati walala me niko macho
Na hustle
My dreams been auctioned
So much money
You could live to die for
Got me paying for survival
You dead on arrival
Less you ain't a rival
I'm switching my time zone yea
It's back to the hustle
Na liwe liwalo yeaaa
Hustle ni hustle
Bora mwisho wa mwezi lina pato yea
Hustle ni Hustle
Haijalishi Milli ama mathao yea
Hustle ni hustle
Usiache waje kuonyesha madharau yea
Hustle ni hustle yea
My nigga either way I'm bout to get it
Yea fanya ma deal yea
Na Fanya ma deal
Na Piga ma biz yea
It's quiet when we dealing yeaa
So much money and
It ain't jingling
Pesa ni nyingi yeaa
But still unaweza uliwa
Juu ya shilingi
Usicheze na sisi
Na haswa tukicheza
Jifanye uhusiki
Ma saa ni ya dingi yeaa
Paper chasing
Utadhani ni uwizi
Lisilo budi ni li bidi
Amin nina sifa ka Iddi
Underground nisha nawiri
Tapakaa ka mizizi
If it's greens am dealing
Niko busy phone ringing
Sina time na urafiki
Wenye dhiki na riziki
Hata nikaanzia chini
Riziki haizuliki
Jipe moyo jitahidi
Hivyo ndio kuishi
Hapa ni kazi kwa wingi
Sina madai na nyinyi
But ka mnanidai mimi
Mnaeza ni catch live streaming
Straight outta kusini yea
Ju ya mawimbi ahh
Na Papa la Kusini yea
But chini kwa chini ahhh
Mashash kwa wingi phew
Jicho nyanya skuma wiki
Niambie ni lipi la msingj
Hizi pesa au urafiki
Mashabiki ama kicky
Kuenda ahera au kuishi
Napenda pesa na shangingi
Mwenye pesa na haringi
ring ring gang gang
Hustle ni hustle
Bora mwisho wa mwezi lina pato yea
Hustle ni Hustle
Haijalishi Milli ama mathao yea
Hustle ni hustle
Usiache waje kuonyesha madharau yea
Hustle ni hustle yea
My nigga either way I'm bout to get it
Yea fanya ma deal yea
Na Fanya ma deal
Na Piga ma biz yea