
Utam ft. Shekina Karen Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Luku kama Italian boy
Si me nadai uni treat kama toy
Vile my guy unani spoil
Mimi nisha chizishwa na huu boy
Mtoto uko fine body shape ka mdoli
When you come around
Ntaku treat ka barbie
Spend all my money
Nitoe timing
Let me grind it
Fore I get back to grinding
Anapenda kuona nikisonga na hio pattern
Kijana ako na misuli tena nimu handsome
Me upenda kukaa karibu na ye ananichangamsha
Come karibu na me nikupe ma tamtam
Tam tam nyam nyam
Ndio me nataka
Cum cum have some
Open your mouth uhhp
Treat her like a doctor
Drip namuosha
Muosho mmoja huwezi tosha
Chibaba ukinishika naskia tam
Venye unanisuka unanipea ham
Me napanda mti naendea utam
Tam tam tam
Chimama ukinishika naskia ham
Nadai ukam closer unipatie sum
Shuka na hii
Nikunyunyuzie ma utam
Tam tam uhh
Me upenda kaa solo
Hutanipata na ma boy
Mambo yangu ni siri
Please don't make noise
Unataka kunipapasa wapi
Kwa ma joints
Bora uniakikishie me ndio main
We ndio main prey
When man pray
What a blessing
Kwa hii food chain
Give you more love
Take you places
You run my heart on a basic
You my boo thang
Joh buda venye unafanya
Na feel hii fili
Siezi mind twende tufichuliane siri siri
Unanisho ni tulie
Kama si leo ni lini
Naskia uku madem wanakuitanga eti pussy mechanic
I got a hand full of tools
Tell me where to screw
Nakam through ma 1-2
Tena 12 noon
Guess what we can do
Just me and you
Place flani hakuna watu
Halafu ni giza tu
Hey
Mambo ya kushare me hapana taka
Roho ita slow utanipatia
Heart puncture
Twende nalo kesho ndio tutajibu mashtaka
We ndio bazenga ukisema na respond faster
Chibaba ukinishika naskia tam
Venye unanisuka unanipea ham
Me napanda mti naendea utam
Tam tam tam
Chimama ukinishika naskia ham
Nadai ukam closer unipatie sum
Shuka na hii
Nikunyunyuzie ma utam
Tam tam uhh
Luku kama Italian boy
Si me nadai uni treat kama toy
Vile my guy unani spoil
Mimi nisha chizishwa na huu boy