Ni Mungu (feat. Goodie Mgeta) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Oooh ouuoh
Eeeeh Mmmmmh
Aaah
Eeeeh
Usikate tamaa vumilia kwa Yesu
Unalopitia Wapo walipitia na wakashinda Aah
Jaribu kidogo unavunjika moyo
Mwombe Mungu utashinda
Kama wao walivyoshinda
Na usisahau
(Yupo Mungu atendaye)
Oooh Ouuoooh
(Ni
Ni Bwana)
Eeeh Ni Bwana Aaah
(Ni
Ni Bwana)
Eh anatenda mambo makubwa Aah
(Ni
Ni Bwana)
Hakuna kama yeye
(Ni
Ni Bwana)
Peke yake anaweza iyeh
(Aye ah ah aye)
Yeye ni mweye nguvu
(Aye ah ah aye)
Tunaposhindwa anajibu
(Aye ah ah aye)
Oh ni Bwana
(Aye ah ah aye)
Eeh ni Bwana
(Aye ah ah aye)
Yeye ni Bwana
(Aye ah ah aye)
Yeye ni Bwana
(Aye ah ah aye)
Mwamini Bwana
(Aye ah ah aye)
Kama Mungu alisema atatenda
Mwamini, atatenda tu
Alisema mwenyewe eh
Kwamba atakulinda eh
Pamoja na shida na dhiki iyeh
Bado yuko na wewe eeh yeah
Kwanini uteseke wakati yeye yupo
(Yupo oh oh, oh oh)
Kwanini uhangaike wakati yeye yupo
(Yupo oh oh)
Na usisahau
(Yupo Mungu atendaye)
Hiih iih iih hii yeah
(Ni
Ni Bwana)
Wewe wewe
(Ni
Ni Bwana)
Peke yako unaweza
(Ni
Ni Bwana)
Twakuadhinisha Bwana
(Ni
Ni Bwana)
Eeh wewe ni Bwana
(Aye ah ah aye)
Aye, mweye nguvu
Na uweza
Nguvu zako zinaweza kubadilisha historia
(Aye ah ah aye)
]
Upatwapo na shida
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Eeh Usiende kwa waganga mama
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Aah Mungu ndiye suluhisho lako
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Matatizo yetu, matatizo yako mama
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Matatizo yako kaka
Inabidi umtegemee Mungu tu
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Peke yake yeye eeh
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Ni Mungu peke yake
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Peke yake yeye ye
(Ni Mungu, ni Mungu peke yake)
Peke yake yeye
Asiyeshindwa
(Aye ah ah aye)
Anayeweza
(Aye ah ah aye)
Mwenye nguvu tu
(Aye ah ah aye)
Ni yeye peke yake
(Aye ah ah aye)
Ooh yeah
(Aye ah ah aye)
Alikufa
(Aye ah ah aye)
Kwa ajili yetu
(Aye ah ah aye)
Tuokolewe
(Aye ah ah aye)
Eh yeye