Furaha Yangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Furaha Yangu - Timoth Mayala
...
Hata kama nikidondosha machozi
Nikose mtu wa kunitoa simanzi
Japo napita shida nyingi za kutisha
Kuogofya nazo za kukatisha tamaa
Nitapambana katika vita nitashinda
Mana najua furaha Bwana yangu inakuja
Furaha yangu yaja
Sijui muda ila itafika tu
Bado wakati yaja
Naisubiri yangu itakuja tu
Furaha yangu yaja
Sijui muda ila itafika tu
Bado wakati yaja
Naisubiri yangu itakuja tu
Yangu yakunipa tabasamu langu
La moyo
Yangu yakunipa kicheko changu
Cha maisha
Yangu yakunipa tabasamu langu
La moyo
Yangu yakunipa kicheko changu
Cha maisha
Nifurahi milele
Milele
Duniani na mbinguni Yesu
Milele
Nifurahi milele
Milele
Duniani na mbinguni Yesu
Milele
Nimeona Marafiki
Wengi sana wamejaa
Ila bado wamejawa unafiki
Niliwaona marafiki
Kwenye shida hata raha
Ila bado wameniacha kwenye dhiki
Yesu wewe ni rafiki
Kwenye shida hata raha
Mi shujaa kwako tena ni mshindi
Najua utanifuta machozi
Utanitoa simanzi
Nifurahi milele
Bwana nifurahi milele
Furaha yangu yaja
Sijui muda ila itafika tu
Bado wakati yaja
Naisubiri yangu itakuja tu
Furaha yangu yaja
Sijui muda ila itafika tu
Bado wakati yaja
Naisubiri yangu itakuja tu
Yangu yakunipa tabasamu langu
La moyo
Yangu yakunipa kicheko changu
Cha maisha
Yangu yakunipa tabasamu langu
La moyo
Yangu yakunipa kicheko changu
Cha maisha
Nifurahi milele
Milele
Duniani na mbinguni Yesu
Milele
Nifurahi milele
Milele
Duniani na mbinguni Yesu
Milele
Ee Nifurahi milele
Milele
Nifurahi milele milele milele milele
Milele
Nifurahi milele yote
Milele
Aaah