
Wana Heri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Wana Heri - Kisumu Central AYM
...
Wana heri wote,wamtumainio bwana,
walojenga tumaini Lao kwake,
japo maisha yawe magumu,
bado wana nawiri.
Ayubu alijenga kwake yesu,
Pepo,dhoruba zilipovuma hakuanguka,
aliteseka lakini bado aka kaa miminwa kwake,kazidi kunawiri.
Simama imara kwake yesu, majaribu yavume kwako usitingike,ewe kijana jenga tumaini kwake yesu,tazidi kunawiri.