
Kaza Mwendo
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Kaza Mwendo - Rock of Ages Ministers
...
Chorus:Kaza mwendo tutafikaaa,makao ya wateule,mji wa ajabu,tutaishii naye Mwokozi,nyimbo za Sifa nazo tutaimba, hakuna kilio pale,kwa ujasiri tutaingia Yerusalemiii*2
****
Stanza1:
Ni mji hule,tunautazama kwa umbali sana Mioyo yetu yatamani kuona kufika pale Yerusalemiii,kitambo kidogo Yesu Atashuka,na vinono alivyotuandalia kule mbinguni watu wote tutafurahi*2.
****
Chorus*2
Stanza 2:
Washindii wote,wataingia katika katika jiji hilo,na wakipaa juu angani kama tai,hawatachoka wala hawatazeeka,ni maisha matamu kule juu mbinguni, mwenzangu ebu fanya hima tukutane kule nyumbani*2
****
Chorus*2
see lyrics >>Similar Songs
More from Rock of Ages Ministers
Listen to Rock of Ages Ministers Kaza Mwendo MP3 song. Kaza Mwendo song from album Kaza Mwendo is released in 2022. The duration of song is 00:05:46. The song is sung by Rock of Ages Ministers.
Related Tags: Kaza Mwendo, Kaza Mwendo song, Kaza Mwendo MP3 song, Kaza Mwendo MP3, download Kaza Mwendo song, Kaza Mwendo song, Kaza Mwendo Kaza Mwendo song, Kaza Mwendo song by Rock of Ages Ministers, Kaza Mwendo song download, download Kaza Mwendo MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Loyce Weremadvhmv
shaddy33o1c
All sda members lets gather here to support our union
William Phirihkh6q
very good composition
tyna816ca
nice somg
Amina nimefuhi kuupata huu wimbo Boomplay saiz na enjoy