![Chali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/06/2d5c9b1f9c0a41329357826c7a1d817f_464_464.jpg)
Chali Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
VOICES AND BEATS RECORDS INTERNATIONAL
DIRECTOR CONTENT AND CREATIVES
SONG: CHALI
Musician: Kuky
Lyrics
(Intro)
Kuky.....
(Chorus)
Kuna Chali mi nataka niingize box
Anapenda Sana haga Na Ma Dior
Akileta mbaya mbaya mi nitaforce mi
nitaforce mi nitaforce.....
(Verse 1)
Ukimcheki ako na tabia za maboss
Ukimcheki ako anashinda wa before
Ukimcheki nikama anapenda Ashawo
Ukimcheki uyu IG ninaweza floss
Fathermoh, mi hukuanga goat itabidi
Nimemshow Mi ni babygirl ninapendanga
Madoh Peng nakuanga ting niite badie malo
Natafutwa kila mwezi nikama salo
(Pre Chorus)
Wine up on me Wine up on me
Masaa ndio machache
Baby life haitungoji �2
(Chorus)
Kuna Chali mi nataka niingize box
Anapenda sana haga na Ma Dior
Akileta mbaya mbaya mi nitaforce
Mi nitaforce mi nitaforce.....
(Verse 2)
Shot's - shots to the head
Nikilewa sana ntampigia bila kutense
Leta Konyagi na maji inipunguzie stress
Ata Kama ako Na mtu Ni Mimi ndio Na bargain
Akibambika Bambika si Acheze na Mpepe
Ucheki vile mdenge anacheza kama Messi
Nacheza Low Key siwezi choma ata Menje
Mi hukuanga kakitu ninakata kama wembe
Songa na masaa juu mi nimejisete
Uh - Masaa ni ya main Ni nani ako na Say
Nimemuingia Buruwein Akichokana na
Mimi akunywe predator na play
(Bridge)
Ukimcheki.....Yeh Hukuanga sawa
Ukimcheki ....Yeh hunichanganya
Ukimcheki.....yeh huwamada
Ukimcheki ......ameweza mbayaaa...
(Chorus)
Kuna Chali mi nataka niingize box
Anapenda sana haga Na Ma Dior
Akileta mbaya mbaya mi nitaforce
Mi nitaforce mi nitaforce.....�3