![Waka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/06/2d5c9b1f9c0a41329357826c7a1d817f_464_464.jpg)
Waka Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
VOICES & BEATS
RECORDS INTERNATIONAL
DIRECTOR CONTENT AND
CREATIVES
SONG: WIKI WAKA
MUSICIAN: KUKY
LURICS
Intro
To to to to Anataka
Co co Co co ooh
Vibe ni kibao mo mo mo
Vibes ni kibao yani
More ooooh
Verse 1
Danger! Ni machine ya
German
Mood inasetiwa hapa
hukuanga redflag
Kitu unatafuta si
umekujia mapema
We badder Dan the most
unaeza uliza redsan
Kuky the bomb bomb
bomb bomb killer
We be don don don Dealer
We be don don don Dealer
Uku tuna wiki wiki wa
Chorus
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Wiki wiki wa
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Verse 2
Karibu nakua Don
nitafutane na Rema
Maisha soft inabidi mi ni
nyuki juu ya nectar
Nashika Mamili Kenya
bongo ka Zuwena
Ukipiga simu sana
nitakupigia later
Kama kuna kitu
inakuwasha si useme
Kabla nianze kuwaka
kama jua na Umeme
Doba mnaskiza vile
mnaskizanga kamene
Teke nawapeleka nikama
manganya za Regen (Ra!)
Pause and Rewind it
Kumeshachafuka every
day I dirty wine it
Ka Biz ya kazi unanihala
na private Hustle ninapiga
silalishi nikubambe Kuky
the bomb bomb bomb
Bomb killer we be don
don don Dealer We be
Don Dondon Dealer
Uku tuna wiki wiki wa
Chorus
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Wiki wiki wa
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Verse 3
Tabia ya Maballer
Udhani nasafisha
ujanipata nikichoma
Ishanifanya Jakom
nabonganga money dollar
Mi na KRA nikama police
and Robber Manze Is an
honour Kuky Taking Over
Mahali nimefika unafikiri
naeza choka? Mi ni Mutu
kazi niko kazi naeza tumia
Madonga Kwani utado?
Do? Do? Chizi Freshi na
Maju ju ju Staki form za
udu Story za mapenzi
niliwachia kidum
Unataka Sauce juu mi
nakuja na juice
They never saw us coming
hawakukua na clue
Napiga mziki Safi huezi
ipata majuu
Ata Mwalimu hakuniskiza
akavunjika kaguu
Ushacheki to to to to
Anataka Co co Co co
Vibe ni kibao mo mo mo
Breakdown [2]
Kuky the bomb bomb
bomb bomb killer
We be don don don Dealer
We be don don don Dealer
Uku tuna wiki wiki wa
CHORUS
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Wiki wiki wa
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Breakdown[3]
Danger! Ni machine ya
German
Mood inasetiwa hapa
hukuanga redflag
Kitu unatafuta si
umekujia mapema
We badder Dan the most
unaeza uliza redsan
Kuky the bomb bomb
bomb bomb killer
We be don don don Dealer
We be don don don Dealer
Uku tuna wiki wiki wa
CHORUS
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka
Wiki wiki wa
Wiki wiki washa
Wiki wiki wa
Wiki wiki waka