![Cheki Dem](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/06/2d5c9b1f9c0a41329357826c7a1d817f_464_464.jpg)
Cheki Dem Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
VOICES AND BEATS RECORDS INTERNATIONAL
DIRECTOR CONTENT AND CREATIVES
SONG: Cheki Dem
Musician: Kuky
Lyrics
(Intro)
Kuky Eeh Aaah
[Background music]
(Chorus)
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahead
Kitu imesimama kitu iko na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko na figure
(Verse 1)
Aiyayayaaa.......
Mali si ya umma, hii Mali ni kifaa
Sukumiwa twa nika unapigwa risas
Unapewa Dose moja unashikwa na kichaa
Aiyayayay.......Aaah aaah Aaah
Ulisema unakam juu Ni ka niko idhaa
Haki yako tam We nihalle nitakam
Nacheki mko rada Juu mi niko na ham
....Nimezoea kistar....
Kuna watu watiaji naona wakijam
Haraka ni ya nini, na mood unafaham
Kueni Wapole si ni mi niko na plan
Na nili wa warn, si ni mi plan
Pre-Chorus
Ni usherati Na raha
Bam ukijigi tufanye vitu haram
Baby come easy ni form ya Dunda
Unaleta mambo mingi unapoteza masaa
Aaah Aaah
(Chorus)
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko Na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahead
Kitu imesimama kitu iko Na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko Na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko Na figure
(Verse 2)
Aaah, utanipata kilimani nikichekesha
Mabuda juu ya Bundesliga Tap
Tap wananisakanya haraka insta
Ati mi hubamba Sana juu the bunda is
Bigger Na ligi nimefika hawawezi nipita
Nakuja Kama side piece Nakuja Kama
Main course Madem wamejiseti
Na hawa ndio Ma main boss Vitu
Posh Na vinywaji, Na luku moja ya
Label Leo ninawakilisha Madenge
Warembo Kama haunipati Unaeza
Nitafuta keshoNa vile zimenice
nikama ninamapepo
[Breakdown]
Kama hatoboki, mwambie awache mchezo
Unaleta zigi zogo Na si ndio wale mabombo
Utasafishwa mifuko ata kushinda ata vyombo
Mitaa wajakushow huku tunarun solo
Na career sijaanza waambie hii kionjo
(Chorus)
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahead
Kitu imesimama kitu iko Na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko Na figure
Cheki Dem Cheki Dem ahaaa
Kitu imesimama kitu iko Na figure
Outro
Background music