
Kidege Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kidege - Naiboi
...
Magix enga on the beat
See the spyroo
Wananiita sabonitaa
Magix enga pon dis onnne
Ah
Ah naiboiii
Ni kidege juu kama pilot
A Chini sishuki tena
Wakipiga umbea kama parrot
Wambie wabonge mwema ama ni,,
Ninganganie
Ninganganie
Ninganganie tena
Wakichocha baby nishikilie
Nishikilie
Nishikilie vyema
Wakibonga baby ninganganie
Ninganganie
Ninganganie tena
Wakichocha baby
Nishikilie
Nishikilie vyema
Kwani bos a
A naiboi got the game land
Mpaka lini ntamwambia maisha london
A
Chilling with the boss si you know that
Aty ubadilishe chanel im the program
Chaga
A girlfriend im loving your butt
Hapa kamewaka moto ka …..
Basi njoo close kidogo
Nitupe lugha unitoe njeve kidogo
Nipe joto
My baby nakutaka we sitaki nobody else
Huyo fala jo muulize we nani ye
Nakupa tamtam tumalize na makali e
Si sariii e
A NAIBOI
CHORUS