![Tata](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/14/a4610d6b23934de7aa4e6e895892457e_464_464.jpg)
Tata Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Tata - Tros Machine
...
Iyee
Naitwa Ma..
Naitwa Mashine
Oya Traxx Haya Mambo Yataleta Shida
Aisee Haya Mambo Yataleta Shida
Ejoo E Tata
Ejoo E Tata
Ejoo E Tata
Ejoo E Tata
Mbona Unachuma Dhambi
Njoo Huku Uchume Tembele
Njoo Huku Uchume Tembele
Mbona Unavuna Dhambi
Njoo Huku Uvune Njegere
Njoo Huku Uvune Njegere
Anachanganya Pombe
Anazikata Pombe
Anatafuta Kesi Huyu
Etata
Kuna Kina Mayombe
Wana Miguu Ya Ng'ombe
Anatafuta Kesi Huyu
Etata
Instrument
Ninavopenda Ku Bang
Ninavopenda Muziki
Zikiita Simu Za Pombe
Hata Chini Hapaliki
Leo Nna Pamba Mpya
Nisitoke Kivipi
Nimemiss Mnyweso
Shisha Na Vijiti! (Mara 2)
Anachanganya Pombe
Anazikata Pombe
Anatafuta Kesi Huyu
Etata
Kuna Kina Mayombe
Wana Miguu Ya Ng'ombe
Anatafuta Kesi Huyu
Etata
Ejoo E Tata
Ejoo E Tata
Ejoo E Tata
Ejoo E Tata