![Kuzima](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/13/84e47ee3ad33459b809110446d6a5e04H3000W3000_464_464.jpg)
Kuzima Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2020
Lyrics
Kuzima - Tros Machine
...
Kuzizi kuzizizi kuzizizi..
Na DREAM BOOY..
kuzizi kuzizizi kuzizizi
yeeyaaaaah...
Aahhhh
TROS MACHINE GUN...
Let me marder them..
Leo nimevunja kibubuu....
Noti na silesile zimejaa, ndo maana situlii muda wote navuruguu....
Tabu ni ileile makachaa,walo vimba jana leo wote wanatubuu...
Kama mabububu....
Hawaongei maji mudomoni selina nipe nunduu....
Kabumbumbu...
Nalisakata mpaka kiunoni...
Nataka kuzima wanibebelee...
Nataka kuzima wanipepelee...
Nataka kuzima wanibebelee...
Nataka kuzima wanipepelee...
Aiii Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziiimaa..
Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziimaa....
Nataka kuzizi kuzizizi kuziziii
Kuziimaa....
Leta kuku kuku unaleta vitu nusu nusu.......
Leo mambo yote iko huku....
Nilisema mapema leo hatuli chukuchuku...
Usafiri wa hakika tukutuku...
Seliinaa seliinaa seliinaa cha utundu seliinaa....
Seliinaa seliinaa kanipe cha uvungu seliinaaa......
Nataka kuzima wanibebelee...
Nataka kuzima wanipepelee...
Nataka kuzima wanibebelee...
Nataka kuzima wanipepelee...
Aiii Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziiimaa..
Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziimaa....
Nataka kuzizi kuzizizi kuziziii
Kuziimaa....
Oiiiy Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziiimaa..
Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziimaa....
Nataka kuzizi kuzizizi kuziziii
Kuziimaa....
ayayayayayaaaahh
Mwite bad man anipepelee....
Zumo boy mentally wanipepelee....
Em Gach bway wanipepelee....
Ally the one switcher baba wanipepelee...
Aiii nataka kuzima wanibebelee...
Nataka kuzima wanipepelee...
Nataka kuzima wanibebelee...
Nataka kuzima wanipepelee...
Aiii Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziiimaa..
Nataka kuzi kuzizizi kuziii
Kuziimaa....
Nataka kuzizi kuzizizi kuziziii
Kuziimaa....
Nataka kuzizi kuzizizi kuziziii
Kuziimaa....