![Kutamu ft. Baddest 47](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/13/eb9b21f80ee34c99a082738c2207d2f0H3000W3000_464_464.jpg)
Kutamu ft. Baddest 47 Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Kutamu ft. Baddest 47 - Tros Machine
...
Tros machine featearing Baddest 47_kutamu
........................
yooh chini (kutamu)
chanzo cha watu kubadili dinii (kutamu)
bebe kali zinalilia mpini (kutamu )
mjini noma ila uswailini (kutamu)
alafu we haha
afu kwenye mitungi (kutamu)
mboga nyingii zipo kwa vikundi(kutamu)
zinashindana kuonesha ufundii(kutamu)
tutafika ata kwa mitumbwii(kutamu)
kidimbwi kutamu vaa pendeza beba na filimbii(kutamu)
pisi ni kali afu azilingii(kutamu)
mida magoma tuchezeshe mbimbi(kutamu)
ayiii wuuuu
mmmh mhhh (kutamuu)
kutamuu eh kutamuu ye yoo
kutamu sanaa ii kutamu fijoo ehh
kutamu kunamidada inamzigo
mwee kutamu nilikua naonaga kwenye Google
wee kutamu uzuri nimekuja na returboo
wee kutamu
kujigijii kutamu
kula mipepe kama unabigijii kutamu
kuitwa dadi father mshua dingilii kutamu
aisee ni nomaa kama tupo jubilii
kuluka pini kutamu
kuwa chini afu unakaliwa mpini kutamu
amini kuwa mtoto wa mjini kutamu
hararararaa chumvini kutamu
eehaaa
mmmmh mmmh (kutamu)
au vipi masela leo tutoke kila mtu abebe maela
tukale nyama zikicheza ndani ya dela
ukijisachi ukijipata we ungatelaa
yaa
buza ni kutamu manzese ni kutamu
mbagala nomaa ila masaki sina amu
shemela ni haramu
kuwa na nizamu usichekecheke bwana mdogo sitamwagika damu
kutamu kama nini
usiombwe unyimwe chini chanzo cha wengi
kujinyongaa wakipigwa chini
kuna kasili kamejificha behind the scene
ata niwe ai vipi nitashuka chini
yaaah
mmmmh mmmh (kutamu)
by
kajojo kid