Your Side Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Your Side - Nimphil paul
...
Sa kwanini nikutende,
wakati me nawe twaendana ,
ety niende mbali nijitenge ,
kwa visa visa kugombana ,
unajua moyo wangu,
umekuchagua wewe ,
we ndo maua harufu yangu,
mwali wa kizungu wewe ,
unapendeza unanukia,
vyema sana,
umeniweza umenipatia ,
mmmhhh,
Darling you know ,
your my dream,
and when I'm walking your my light ,
kukuacha no,
mapenzi ya misimu ,
kwako ninajenga ,
fundi Niko site ,
I'm on your side ,
I'm on your side ,
I'm on your side ,
I'm on your side,
I'm on your side,
I'm on your side,
I'm on your side,
forever I'll be your side,
Naburudika, pendoni mwako,
nasahau shida, zote za mwanzo,
we ndo malaika, mwenye upako,
sio majalida, Wala matangazo,
umeniponyesha,
nilipoumizwa,
umenitengeneza,
palipo haribiwa,
nilikua mateka,
nilie fungiwa,
sasa ninadeka,
napendwa kama njiwa,
mhh, Mary×2
Terry Mary,
will you marry me,
nakupenda kweli sio tapeli,
baby niamini,
Darling you know ,
your my dream ,
and when I'm walking your my light ,
kukuacha no ,
mapenzi ya misimu ,
kwako ninajenga,
fundi Niko site,
I'm on your side ,
I'm on your side,
I'm on your side,
I'm on your side ,
I'm on your side,
I'm on your side,
I'm on your side
forever on your side ,
yeah,