![##](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/01/c6e2d9cb94804f3b814e4dc2897e90daH3000W3000_464_464.jpg)
## Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Hujanikomoa - Nimphil paul
...
Me kinda na Sina mabawa,
unanifosi nipae,
na sio kama unanikomoa,
maumivu nishazoea,
na licha ya upendo wangu,
ukaniona mwewe,
umetengeneza Chaka,moyo umepotea,
Hasa mbona hukusema,
Kuwa kapu linavuja na me naweka maji
Ety nizame kwa kin,
Kumbe ulikua na mimi kwa yako mahitaji
Na usizani,sio rahisi ulivyo tegemea,
kuwa me ni wako na nimejifia,
Hivi unahisi nilikupenda pia au nilijiwekesha kupenda pia,
Nimepata tarifa zako kwa rafiki zako ety unawaambia,
Ety mimi Sina jambo kitandani mgando na nina kibamia,
Pia umefeli si robo, umeniacha kombo Mimi, sina hata mia
umenipiga kikomo mechi za mgando ndizo ulizonipatia,
aaaahh,we dada mbaya, mbaya we dada mbaya, mbaya,
Hujanikomoa× 8
Nilipenda nikatendwa
Nikapenda tena nikatendwa,
Nimependa umenitenda,
Nitapenda tena nitatendwa ndo mapenzi,
Ya nini kujipa taabu hayana ustaarabu
Ety niamini, nikujipa tu ghadhabu na maumivu,
Na message kujitumisha tumisha kwa ndugu ukome,
Hata ukiniona nadanga nipishe,
Nimepata tarifa zako kwa rafiki zako ety unawaambia,
Ety mimi Sina jambo kitandani mgando na nina kibamia,
Pia umefeli si robo umeniacha kombo Mimi sina hata mia,
Umenipiga kikomo mechi za mganbo ndizo ulizonipatia,
aaaahh we dada mbaya, mbaya,
we dada mbaya, mbaya, mbaya,
mbaya mbaya,
Hujanikomoa,(Hujanikomoa)
Hujanikomoa,(hujanibandulia jambo)
Hujanikomoa,(me yule,ehh yule)
Hujanikomoa
(hujaniii......hivi..)
Hujanikomoa,(napenda sana)
Hujanikomoa(hujaniiiii.....)
Hujanikomoa,(iiiihhhiii.....)
Na kama ikibidi na namba futa,
Choma zawadi na zangu picha,
Tusitafutane, tusisumbuane,