
Awena Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2008
Lyrics
Awena - Cassim Mganga
...
Nliapa ukiondokaa mpenz ntaondoka na wew
Sikuahid kukufuta machoz
Ina maana unataka kuondoka mpenz kunitazama utak awena
Basi kama kuna kosa nililofanya nieleze Awena aa
Choz lang la thaman unaliacha lianguke
Tuliyopanga zaman ina maana si chochote
Utam wa mapenz niujuwao mi nawee
Kipenz chang Awena
Utam wa mapenz niwujuao mi nawee rudisha moyo Awena
Iweje penz lang kwako unalikatisha
Iwejeeee heee
Iweje penz kwako unalikatisha ina maana tunda lang basi utam umekwisha beiby
Labda ungesema mapema kwa penz la kukuhitaj Awena
Kuliko kuondoka wakat moyo wang bado unakuhitaj Awena
Utam wa mapenz niwujuao mi nawee kipenz chang Awena
Utam niwujuao mi nawe rudisha moyo Awena
Labda ungesema mapema kwa penz la kukuhitaj Awena .
Kuliko kuondoka wakat moyo wang bado unakuhitaj Awena
Utam wa mapenz niwujuao mi nawee kipenz chang Awena
Utam wa mapenz niwujuao mi nawe rudisha moyo Awena
Nahis kuna mtu amekubadilisha mawazo ama marafik zako wasiopenda penz lako nieleze kipi ambacho ungepata afadhal mpenz
Maneno matamu ulionipa chumban uku kichwa chako umelaza kifuan machoz yakikutiririka mashavun
Kwamba utoniacha mm labda utoeke dunian
Umeniacha kipind ambacho sitaraji mpenz moyo wang bado unahitaj lako penz
Rudi Awena..Rudi mpenziiii hiiih
Rudi Awena...Rudi mpenzi basi heeeeeenh
Chorus..............................