
Haiwezekani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2010
Lyrics
Haiwezekani - Kassim Mganga (TZ)
...
Sikiliza sindy nikuelezeee Yamoyoni nikutoe wasiwasi
Sikiliza kipenzi mwenye sura ya upole Nimbembelezee ili nisiwe na wasi
Sikiliza kisura
Mwenye sifa ya upole Mwenye mapenzi hi hiii
Ya kweli kwangu
Kama shida mamy (kama shida mamy)
Bas vumilia shida wewe Kama njaa sote tunashinda
Kama shida haaa basi vumilia shida wewe Kama njaa, njaa tunashinda
Haiwezekani (haiwezekani) hii
Nikuache wewe hee
Unaenipendezaa
Niende kwa mwingine
Haiwezikani hii
Nikuache wewe
Unaenipendeza
Niende kwa mwingine
Kidogo chetu mimi nawe Kikubwa cha baragu
Mali zao zisifanye upagawe
Kaniweka roho juu
Kidogo chetu mimi nawe Kikubwa cha baragu Malio zisifanye upagawe
kaniweka roho juu
Amini wewe ndio wapekee
Niamini basi mimi
Nimini basi mimi
Niamini basi
Usije niacha mpweke heee
Nikaikosa nafasi kwako
Nikaikosa nafasi mimi
Nikaikosa nafasi
Basi twende kwetu nyumbani
Wakakuone wazazi nyumbani
Basi twende kwetu chukua nauli
Ikibidi tutaoana
Nivumilie, nivumilie mamy
Tabu zitakwisha baby
Tabu zitakwisha
Sijachoka kutafuta
Nivumilie, nivumilie mamy
Tabu zitakwisha baby
Tabu zitakwisha
Sijachoka kutafuta (haiwezekani)
Haiwezekani (haiwezekani)
Nikuache wewe (nikuache wewe)
Unaenipendeza (unaenipendeza)
Niende kwa mwingine (niende kwa mwingine)
Haiwezekani (haiwezekani)
Nikuache wewe (nikuache wewe)
Unaenipendeza (unaenipendeza mamy)
Niende kwa mwingine (haya wewe)
Kama shida na njaa tabu na njaa
Shida na njaa
Kama tabu na njaa
yote majaliwa (2)