- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2010
Lyrics
Awena - Kassim Mganga (TZ)
...
Niliapa ukiondoka mpenzi, n'taondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali n'talia nawe
Ina maana hata kugeuka mpenzi kunitazama, hutaki Awena
Basi kama n'na kosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke, eeh
Tul'opanga zamani ina maana si' chochote
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe (kipenzi changu Awena)
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe (rudisha moyo Awena)
Iweje penzi langu kwako umelikatisha iweje, eh?
Iweje penzi langu kwako umelikatisha?
see lyrics >>Similar Songs
More from Kassim Mganga (TZ)
Listen to Kassim Mganga (TZ) Awena MP3 song. Awena song from album Haiwezekani is released in 2010. The duration of song is 00:06:12. The song is sung by Kassim Mganga (TZ).
Related Tags: Awena, Awena song, Awena MP3 song, Awena MP3, download Awena song, Awena song, Haiwezekani Awena song, Awena song by Kassim Mganga (TZ), Awena song download, download Awena MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
gloryeayr3
179237184
chozi .langu lathamni unaliach lianguke
Ommy Guizer
chozi langu la thamani unaliacha lianguke daaah! hii nngoma ilinitoa [0x1f653]
hili song la zamani