KINARE ft. mtap3li Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2023
Lyrics
KINARE ft. mtap3li - Lilmaina
...
Whine and Kotch
Girl whine and Kotch
Cheki cheki, uh
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kingwaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kingwaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Kinare, nikusetie kifwaka
Ni pale 2010 venye kumеwaka waka
Mabare, wakianza za ufala
Na buda unashtuka mpaka una-s-stammer
Nani hapa ako na lighter joh
Mеchi zangu ni kama El Clásico
Real Madrid ama Barca ni hizo joh
Mras na kijaba nimegeuka criminal
Nipate Rubis si irori ni liquor store
Sunda wada ndio ishike even more
Leta kashata stabilizer ndo hivo joh
Alafu hapo kando mnakohoa "ai nini bro?"
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kingwaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kingwaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Mtapeli Na Bado
Uh, wacha haraka
Cheki ukikuja hapa we ni takataka
Yoh, unabonga vile unataka
Alafu ukicheka hapa utagandwa
Cheki masura zimebonda
Alafu hakuna mwenye ako na kidonda
Na bado tumetoka huko Runda
Cheki zimerunda yoh
Niko deadly kama ukedi
Nafanya warembo wote mtaani wanastedi
Wakistedi nawalaza kwenye bedi
Kwenye bedi nawapiga mijeledi
Machali wao nawapiga maheadi
So sick in the headi ka skedi
Meditation nipate kwa pedi
Already nastedi macho redi zimefedi
Lete kinare nikusetie kiwa—
Lete kinare nikusetie kifwa—
Lete kinare nikusetie kiwa—
Lete kinare nikusetie kifwaka
Lete kinare nikusetie kingwaka
Lete kinare nikusetie kifwaka
Na zikishika sana utalia zimewaka
Lete kinare nikusetie kiwa—
Lete kinare nikusetie kifwa—
Lete kinare nikusetie kiwa—
Lete kinare nikusetie kifwa—