![ZOZA ft. BURUKLYN BOYZ](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/22/d075eb060f1a4304aa10b1a363784753_464_464.jpg)
ZOZA ft. BURUKLYN BOYZ Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
ZOZA ft. BURUKLYN BOYZ 🅴 - Lilmaina
...
kwa hii life tunacheza hawa mongers mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za mathare sahii naishi mayolo masling nazichota
Mechi zangu zingine nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Ninaball wanadhani na kopa
Ninaball wanadhani na kopa
Kwa hii life tunacheza hawa mongers mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za mathare sahii naishi
mayolo masling nazichota
Mechi zangu zingine nimedishi maforeign wapoko wamegeuka Europa
Ninaball wanadhani na kopa
Ninaball wanadhani na kopa
Nikitoka me huchafua scene
Man am on their mouths like Lisa Reen huh
And if I cheat I come out clean kujificha ya watoi huh
Na ma exes kuwatesa ni juu daily na apply-ingi jo pressure
Ni kuzidi there is no rest man
Last show nilizoza huko Westlands
Na siku hizi wanasema nakula
Eti Jere kidogo umekuwa na kitambi
Na bima nimeshika nimechapisha debe ukiingia unaskiza kinyambi
Niko trap kilimani wapoa wako different lakini ukweli mababi
uh samahani mteja wa nambari hapatikani
pre chorus
(Ajay - Buruklyn Boy)
Nikona dem yako ana chali
Anadai una games chali
Kwa bag ni Jeff Hardy
Doda imewow when i get sturdy marappers wako class wana guess studies
Jegi zinawhip kwa majiaga car keys
Roadman jeep piga nikes
All-time c unajua hizo ndo fly kicks
chorus
Sii unajua hii side nimezoza
Sii unajua hii side nimezoza
Sii unajua hii side nimezoza
Kupull up their socks wassup hiyo trouser
Sii unajua hii side nimezoza
Sii unajua hii side nimezoza
Sii unajua hii side nimezoza
kupull up their socks wassup hiyo trouser
(Lil Maina)
Kwa hii life tunacheza hawa mongers mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za mathare sahii naishi mayolo masling nazichota
Mechi zangu zingine nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Ninaball wanadhani na kopa
Ninaball wanadhani na kopa
Kwa hii life tunacheza hawa mongers mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za mathare sahii naishi mayolo masling nazichota
Mechi zangu zingine nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Ninaball wanadhani na kopa
Ninaball wanadhani na kopa
(Mr Right )
Bad bihs A-Z
Nawakunywa na straw kama lucozzade
Tuko bukla natingisha bunda
Anataka kunionyesha kurotate
Slow whine,fuck hotel naisqueeze I'm on my lucky days
Hizi sides sisi ndio kusema tukikam hizo sides mna relocate
Drink so cold on a sunny day ey sipping on a lemonade
Ni uongo ni fairytale unakaa paloti hiyo ni nini unasay
Drink so hot on a rainy day ey sipping on a lemonade
I'm in for the money days
Mulla cash i wanna get paid
Kwa hii life tunacheza hawa mongers mafala mambleina wamegeuka imposters
Nilitoka kwa slums za mathare sahii naishi mayolo masling nazichota
Mechi zangu zingine nimedishi maforeign wapoko imegeuka Europa
Ninaball wanadhani na kopa
Ninaball wanadhani na kopa.