UMBWAKNEI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
UMBWAKNEI - Lilmaina
...
Jordan mbwakni
Utafanya tumnyime kura 2022
Si ndo ma top larger 254
Wana dmwakidai magwiji
Kwani ni kesho
Mafia
Mbwaknei
Hizi ni gani
Mbwaknei
Hizi ni gani
Staki jordan za umbwaknei
Manzi yako kapenda konyagi
Nivyo ni koron
Kuskia earger niko on
Na akipiga zima phone
Zima phone
Na maboyz wako ndani
Na waki leta reba kuna chai
Manzi yako ako ngong
Kando hapo king kong
Anapewa kitu long
Kahush kapigwa na mwiko
Masanse wako kwa diro
Manzi bado zimewai
Hazi shuki walai
Ur always on my mind
Hizi jordan ni gani unabuy ni za umbwaknei
Hizi ni gani
Ur always on my mind
I know
Hizi ni jordan gani unabuy
Ni za ubwaknei
Hizi ni gani
Nikona wizo tano nane
Na kama nku cheat usipatikane
Ali toka home saa nane
Na bado anaomba tupatane
Hii ni rnb
Hii si genge tone
Manzi yako ati ako home
Lile shosh pia ni umbwaknei
Nabuda uko nai
Kahush ka pigwa na mwiko
Masanse wako kwa diro
Manzi bado zime wai
Hazi shuki walaai
Ur always on my mind
I knooow
Hizi ni jordan unabuy ni za umbwaknei
Hizi ni gani
Ur all ways on my mind
Hizi ni jordan gani unabuy
Ni za umbwaknei
Hizi ni gani
Za umbwaknei
Hizi ni gani