Hawataweza Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mbona
Do you have to be this way
Unajitoa
From all the promises we made
You Wanna blow up
All the loving that we gave
Listening to the he said and the she said
Uwongo za mjini zimenoga
Niamini nakupenda ni wewe tu
Wakusema watasema, usiku watalala
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia itashindwa na cha kusema
Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema
Baby achana nao
Uohhuu uohhuu uohhuu
Usiwaskize hao
Uohhuu uohhuu uohhuu
Baby achana nao
Uohhuu uohhuu uohhuu
Usiwaskize hao
Uohhuu uohhuu uuuuu
The city's full of haters, full of players
Wakutupiga asunder oh they wanna break us
Usiwaskize hao, oh baby achana nao
Cause when we say ni forever, ni vow tunaweka, mimi na wewe tu
Let us go down in history, baby
Niamini nakupenda ni wewe tu
Wakusema watasema, usiku watalala
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia itashindwa na cha kusema
Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema
Baby achana nao
Uohhuu uohhuu uohhuu
Usiwaskize hao
Uohhuu uohhuu uohhuu
Baby achana nao
Uohhuu uohhuu uohhuu
Usiwaskize hao
Uohhuu uohhuu uuuuu
City boys they wanna break your heart
City girls they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu
City boys they wanna break your heart
City girls they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu
City boys they wanna break your heart
City girls they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu
City boys they wanna break your heart
City girls they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu