- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Amani - Wanavokali
...
Hawaoni kuwa
Kidole kimoja hakiwezi kuvunja chawa
Bila ya kujua
Kufanya kazi na wenzio kwa pamoja
Tutajiinua
Na mambo yote yatarudi kuwa sawa sawa
Na tunapiga dua
Kwake Mwenyezi atuelekeze tukikosa njia
Na matumaini yetu yote yakianza didimia
see lyrics >>Similar Songs
More from Wanavokali
Listen to Wanavokali Amani MP3 song. Amani song from album Wanavokali: The Album is released in 2021. The duration of song is 00:03:37. The song is sung by Wanavokali.
Related Tags: Amani, Amani song, Amani MP3 song, Amani MP3, download Amani song, Amani song, Wanavokali: The Album Amani song, Amani song by Wanavokali, Amani song download, download Amani MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
tokody_254
favourite