Useme (feat. Imocy) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Hey yeah oh
M Nex
Yeeh
(posho city music)
Verse 1 (M Nex Nex I)
Hasira haifai kwenye maamuzi
Alisema till I die ameniacha juzi
Kwa maneno ya kusingizia
Yamefanya me nitoe chozi
Sa kwanini umeyazingatia siwezi pona umezidisha dozi
Usiku me silali ni mawazo nateseka juu yako
Na tangu uende mbali ni mateso nateseka juu ya penzi lako,
Kipi nilifeli njoo uniambie ukinipa nafasi nikufanyie,
Ahadi za kweli zitumie
Ukirudi Kwangu utulie,
Nakupenda sana usione kama nang'ang'ana
Rudi mama usiwafate wanakudanganya
Chorus :
Basi useme ee nili feli wapi
Nawe useme ee ulifanya mangapi
Basi useme ee Nawe useme useme nilifanya mangapi
(Yoh Nex, unajua mapenzi yanaumiza mwanangu, it's Imocy)
Verse2 (Imocy)
maktaba yangu ya upendo tayari umeshaichana sasa unafurahi.
zile ahadi kwamba baby hatutokuja kuachana ndo zinantoa uhai.
Nikusubirie ama mwenzangu ndo mazima umeshapata mwingne..
aibu yangu mie nilijitapa wamaisha nikakupost na insta.
Ona hivi sasa unapost una bwana mwenye ndinga tena unanidharau...
unahisi kama Mungu ridhiki yangu ndo keshaziba na sitopanda dau
na mi nasema baaasi nimejua ni kiherehere changu tu
nimefanya mangapi na unajua ukweli but you hide truth..
Nakupenda Sana usione kama nang'ang'ana
Rudi mama usiwafuate Wanakudanganya
Nakupenda Sana usione kama nang'ang'ana
Rudi mama usiwafuate Wanakudanganya
Nami nasema
Chorus :
Basi useme ee nili feli wapi
Nawe useme ee ulifanya mangapi
Basi useme ee Nawe useme useme nilifanya mangapi
(it's Imocy, Chief cooker, Nex?)