Nakuwaza (feat. Mamilzy) Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
JAX INK
Baby Mwenzio nawaza ingekuwaje, Usingekuja wewe
Aliepita majanga staki nimtaje, aliniacha mwenyewe.
Umekuja mtetezi mjuzi wa mapenzi, daima nitakupenda .
Nawe uzidi kunienzi ntakupa na tenzi, ili usije kwenda.
(You my girl, usije kaa mbali nami now you my girl X2)
Chorus:
Muda wote baby girl nakuwaza muda wote baby girl .X2.
Muda wote baby boy nakuwaza muda wote baby boy. X2
(Hee yiii eee muda wotee eee , nakuwaaa nakuwaza baby girl)
Verse :2 (Mamilzy)
Nimekulidhia, chochote unachotaka ntakupatia .
We ndo my dear, tafadhali usije ukanikimbia.
Ukiwa mbali nami nakosa amani. Moyoni kunakuwa taflani .
Please baki nami ,baby you're my honey , ukienda mbali ntabaki na
nani.
(You're my girl usije kaa mbali nami now you're my girl. X2
You're my boy usije kaa mbali nami now you're my boy. X2.)
Chorus
Muda wote baby girl nakuwaza,muda wote baby girl. X2.
Muda wote baby boy nakuwaza muda wote baby boy.X2.
Heee iii eee .,
Eeeh eee
We sakata Rumba ,twende mbele turudi Nyuma .X2
It's trap house records