Bado (feat. Mr Finest) Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2024
Lyrics
Da da da Dady Final
Shemeji ee , we pekee nina ujumbe me nataka kukupa.
Umwelezee uyo bibie , ili ajue jinsi nanvyompenda.
Nikikaa na maumivu Kwa moyo . Ipo Siku nyie mtaja nizika
Anachofeli nduguyo sio mchoyo ni kama maji Yani anamwagika
Nisijepata na gonjwa la moyo , kisa mawazo ndizi ya kuvundika
Au ni vile me kwake poyoyo.
Najua Kuna muda nakosea. Ila siwezi sema I don't care.
Ndo vile najikaza ila naumia
Mwenzangu ana enjoy is not fair
Najua Kuna muda nakosea. Ila siwezi sema I don't care.
Ndo vile najikaza ila naumia
Mwenzangu ana enjoy is not fair
Kumpenda nampenda ila moyo anaudanganya.
Siko radhi ku surrender akili yangu anaichanganya
Kumpenda nampenda ila moyo anaudanganya.
Siko radhi ku surrender akili yangu anaichanganya
Baa baa bado, baa baa bado
, baa baa bado , Bado nampenda
Baa baa bado, baa baa bado
, baa baa bado , Bado nampendaga
Eei, Uongo kucheat kwenye mapenzi ni uadui,
Macho yana tongotongo maziwa nikaona tui.
Rafiki zako walikudanganya, hilo kosa Mimi sikufanya,
Stori zao zikakuchanganya ila sio kweli.
Zuia hasira hasara , usilete matusi na mikwara , mapenzi yanataka busara (ah ee ah ee)

Final