
Tuliza Ball Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tuliza Ball - Brayban
...
Ooooh siku mapenzi yamekuwa kama vita
Ila mwenzangu nachukulia kawaida
Hao washenzi wanaokipa kichwa
Kwenye njia yako wamepanda miba
Ukiacha mapemzi na kushare kitanda
Mimi na wewe ni marafiki
Kabla ya uamuzi babe ungepima
Ukubwa wa kosa babe ungepima
Kipi kimefanya ukimbie ungepima
Ukubwa wa kosa babe ungepima
Masikioni masikioni mwako
Najua wamekujaza sumu
Huoni mazuri yangu
Masikioni masikioni mwako
Najua wamekujaza sumu
Huoni mazuri yangu
Tu tu tu tuliza bolii
Mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza bolii
Tu tu tu tuliza bolii
Tu tu tu tuliza bolii
Mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza bolii
Tu tu tu tuliza bolii
Tu tu tu tuliza bolii
Mwenzako nipo kikaangoni
Tatuzo lako wewe unang’ang’ania
Unang’ang’ania na kung’ang’ania
Hatuongei yakaisha
Kitu kidogo tu unakazania
Unaruhusu machozi yakachafue kitanda
Wakati unajua wa kunifuta sina
Kwanza upendo siri yake kupendana
Pili upendo unataka heshima
Mwanzo mapenzi yalikuwa matamu
Mithili ya sukariii
Leo mapenzi yamefika hapa
Umekuwa katili
Masikioni masikioni mwako
Najua wamekujaza sumu
Huoni mazuri yangu
Masikioni masikioni mwako
Najua wamekujaza sumu
Huoni mazuri yangu
Tu tu tu tuliza boliii
Mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza bolii
Tutu tu tuliza bolii
Tutu tutu tuliza bolii
Mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza bolii
Tu tu tu tuliza bolii
Tu tu tu tuliza bolii
Mwenzako nipo kikaangoni