
Niko Poa Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Niko Poa - Mr. Seed
...
......
mr seed again
prod paul
my baby nimo darling eeh
jipe moyo usilie
wanaoulizia waambie niko poa
my baby nimo darling eeh
jipe moyo usilie
watoto wakiuliza waambie niko poa
ingekuaje eeh , , ningeondoka mummy eeh
ingekuaje eeh, ungenimiss niambie
nikiremember that day nikama today
niko kwa floor nafanya deeh
nafunga macho bado napray baba usinichukue
niko na stress
niko kwa bed , siwezi walk , niko kwa pain, landlord bado anangonja rent , baba nihurumie
ila niko poaa
umenilinda poaa
familia poaa
nakushukuru molaa *2
..........
mungu alicheki akasema bafo
mapenzi yetu yasonge bado
nitakupenda hata nifunge macho
and i will love you and i will die withyou
forever by you my lady i will live with you
mungu alicheki akasema bado
mapenzi yetu yasomge bado
ongezi ni kama majirani