![Kwa Hao ft. Masterpiece, Vuvu, Dezian & Madox (Boondocks Gang)](https://source.boomplaymusic.com/group1/M18/5C/D3/rBEeMV5fpZyAD1JiAADf0Ht8mcg351.jpg)
Kwa Hao ft. Masterpiece, Vuvu, Dezian & Madox (Boondocks Gang) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Kwa Hao ft. Masterpiece, Vuvu, Dezian & Madox (Boondocks Gang) - Mr. Seed
...
Starborn,Mr.Seed again,alright Masterpiece,(mavo on the beat....)VDJ Jones,uwachome na kingoko,call me call me call me Dezian,Elfo gang , (mavo on the beat)
Hey,kwa God niko fiti , kwa God niko sawa amenibless sahi nina mtoi ako kwa hao (kama order)
ah tuna sifu kwa hao , ah kwa hao , ah huko ndani ndo makao (kama order)
ah tuna sifu kwa hao , ah huko ndani ndo makao (kama order)
ah,yoh yoh cheki all of a sudden amenibless tunana,all of a sudden amenicheki nana,all of a sudden amenibless me,cheki,bless me,cheki,bless me nana
Party after party tunaparty tu kwa hao,
ata wakorino wanaparty tu kwa hao(kama order)
wanachachisha kwa hao
tunatambua mungu tu ndio baba yao
toka ngware lazima nipige sala,
ju ya mahali nimetolewa na maulana
better days ndio nilikuwa nasaka
baraka za leo ni mingi kushinda jana
acha,niimbie sir God,kama basi nizidishe maombi,hata kwa seat ka sisongi na mbogi,mi najua atanilinda nikiwa naye sikosi mmh
kwa God niko fiti ,kwa God niko sawa,amenibless sahi nina mtoi ako kwa hao (kama order) ah,tunasifu kwa hao,ah,kwa hao,huko ndani ndio makao (kama order) tunasifu kwa hao,ah,huko ndani ndo makao (kama order)
yoh,yoh,
tangu kitambo ulinipenda,ukanivumilia ukanijenga,maisha ikinipiganga chenga,don't worry ju forever mi ndio member
creation itakase nibariki,si ati maisha ya kutafutanga kiki,nare nare bila kiberiti,Holy Ghost fire unarauka kwenye kiti
Blessings shower sir God we ndio dawa,nikilala huwezi kuninawa,daddy umenibless umenivisha mavazi,nobody can test a father....
jah jah,jah jah kwako tuko seti ,jah jah kwako tuko seti,bila wewe jo haiwezi,siku za kiama sitaki iwe kesi
kwa God niko fiti,kwa God niko sawa amenibless sahi nina mtoi ako kwa hao(kama order)ah,tunasifu kwa hao,ah,kwa hao,ah,huko ndani ndio makao(kama order)ah,tunasifu kwa hao,ah huko ndani ndio makao
ah yoh yoh
naobey God tumepass,even though Kenya kuna locust,ulinibless ukachange my past,siwezi kakusahau hata nikiiva shash
na disemba mi husele your bash(hapo christmas)first jah mi siwezi miss church,ju najua jah jah utacatch,naukicatch utafanya nikose cash
Master utanipata kwa church,Master huwezi nipata na shash(oh shash),kwa Christ jo pia kuna bashbash
takunywa damu ya yesu
man a bad man since I was born,Jesus is the real don don dada,nina musa pia sisi ni magang,kwà Christ pia sisi ni magang
kwa God niko fiti,kwa God niko sawa amenibless sahi nina mtoi ako hao(kama order)ah,tunasifu kwa hao,ah kwa hao,ah huko ndani ndio makao (kama order) tunasifu kwa hao,huko ndani ndo makao(kama order)
ah yoh yoh
kwa God niko fiti,kwa God niko sawa amenibless sahi nina mtoi ako kwa hao(kama order)ah,tunasifu kwa hao,ah,kwa hao,huko ndani ndo makao(kama order)tunasifu kwa hao,huko ndani ndio makau(kama order)
ah yoh yoh
(mavo on the beat)