Mshenga No.2 Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mshenga No.2 - Mbaraka Mwinshehe
...
Barua nyingi zamiminika ooh,
kutoka ukweni.
zauliza, habari za posa ooh ( X 2 )
Vipi bwana wewe tunangoja io posa,
Mpaka sasa kimya.
Kama umeshindwa, taarifu upesi,
tumuoze mwingine ( X 2 )
Barua zenu zanishtua ooh, kwani siamini, mnayosema, ukoo wakwe zanguu.
Mahali nimeshatoa siku nyingi,
Nakumkabidhi mshenga na pengine hajazifikisha.
Toka mwezi wa juzi, kama kweli hajafika yatia wasi wasi,
Hili na hili sina, mshenga haonekani, kwenu wala kwangu.
( Instrumental )
Mwezi wa tatu, kwanini mahali asifike,
na posa nimempa mshenga, awaletee (X 2)
Mwisho wa mwezi, mimi nitafika uko,
hata kama posa zimeliwa, hilo msijari ( X 2)
Mwezi wa tatu, kwanini mahali asifike,
na posa nimempa mshenga, awaletee (X 2)
Mwisho wa mwezi, mimi nitafika uko,
hata kama posa zimeliwa, hilo msijari (X 2)
( Instrumental )
Mwezi wa tatu, kwanini mahali asifike,
na posa nimempa mshenga, awaletee (X 2)
Mwisho wa mwezi, mimi nitafika uko,
hata kama posa zimeliwa, hilo msijari ( X 2)
Mwezi wa tatu, kwanini mahali asifike,
na posa nimempa mshenga, awaletee (X 2)
Mwisho wa mwezi, mimi nitafika uko,
hata kama posa zimeliwa, hilo msijari (X 2)