CARO Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Eti Mapenzi
Inawashika wasani
Kama ya Diana na Baha
Mmh Aki Mapenzi..️
Na tena mapenzi
Inawashinda wasani
Kama ya Tanasha na Dangote
Aah aki mapenzi..
So when you find a 'One man girl' tulia
When you find a 'One girl man ' tulia
Ukipata boy akona Akili tulia
Na ukipata dem si jangling rukia
Imeendaje wewe
Moyo wangu uka saliti wewe
Na nilikuamini wewe
Na kumbe we ni mwewe
Si ulifanya nika cancel (ooo ooh)
My girl nili cancel (ooo ooh)
(Oh my baby) oh Baby
(Oh my baby)
CHORUS
Unajifanya kama Shakila Shakila ( CARO!!!)
Aiih kama Shakila Shakila
Ukaniwacha kama Vanessa Vanessa (CARO!!!)
mmh kama Vanessa Vanessa
Mapenzi imekushinda kama Chibudi Chibude (CARO!!)
mmh kama Chibudi Chibude
Tukawachana kama Vera na Otile weeh (CARO!!)
ooh...
Ukipenda mtu kushinda tomatoe
Utamlinda ka commando we
Commando wewe
Mmh ah uta sacrifice
In the name of your lover (sacrifice)
In the name of your lover (Mmm naah nah)
Huenda siku moja
Utafanikiwa na mmoja
Ambaye atakupenda
Usije kam tenda
Si ulifanya nika cancel (ooo ooh)
My girl nili cancel (ooo ooh)
(Oh my baby) oh Baby
(Oh my baby)
CHORUS
Unajifanya kama Shakila Shakila ( CARO!!!)
Aiih kama Shakila Shakila
Ukaniwacha kama Vanessa Vanessa (CARO!!!)
mmh kama Vanessa Vanessa
Mapenzi imekushinda kama Chibudi Chibude (CARO!!)
mmh kama Chibudi Chibude
Tukawachana kama Vera na Otile weeh (CARO!!)
ooh...