SHEREE (feat. Miss P) Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
LYRICS
uuh uuuh uuh!! Uh uuuh
Aaah aaah .........
VERSE 1. (KLONES MELODY)
Venye umebeba beba ah (aah)
Ukipita na confirm (confirm)
Ukisongea kiboko unatisha ah (aah)
Kama teacher wa form one
Napenda ukishika huku (ghai! )
Unamada mtoto wa mtu
Na venye umeipiga hiyo luku
Baby twende out nikutibu ooh
Utapiga shots ya ma Gin (ya ma Gin)
Leo lazima ulewe jeah....(lewe)
Ongeza vodka na ndimu (na mandim)
Leo lazima tulewe Leo kuna
CHOROUS
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
VERSE 2. (MISS P)
Venye tutatoka Kwa Bima
tukienda pale kwenye dance floor
Venye (tutateka ma quarter)
Zikishika baby twende (down low )
Leo nataka kuparty (party )
Baby come mess with my body (body)
You know I like when you're dirty (dirty yeeeeaah)
Baby let me call you my dady yeah
ukishika shots jua ni kelele (kele)
Leo leta vodka ya bei bebe (bebe)
Hakuna kuchoka twende tucheze
Leo kuna sheree eh
Nitapiga shots ya ma Gin (ya ma Gin)
Leo lazima nilewe eh....(lewe)
Ongeza vodka na ndimu (na mandim)
Leo lazima tulewe Leo eh
CHOROUS
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna
(SHEREE!! ) Ooh
obera obera leo kuna