My lover Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Hivi muthoni ah
Ninakupenda kushinda my salary
(O oh no do you know)
Hata bwana mkunaji ana witness
Ana witness witness
Vile nakupenda your my weakness
Si una witness witness
Girl I'll die for you ah aah
I'll die for you ah aah
I'll never lie to you ah aah
I'll lie for you ah aah
Mtoto moto zaidi
Njoo tuchape photo saa hizi
Unanipandisha joto zaidi
Ukiongeza tempo oh no noo
CHORUS
My lover,( Unaniosha kama vikombee !)
My lover, (Ndio maana nakufuata kama Ng'ombe!)
My lover, (Unanilegeza kuliko pombe!)
My lover, (Hii moyo ni yako chukua)
Baby twende nyumbani
Tuone ile movie ya wahindi
Alafu nikuchemshie maji
Ndio usipigwe na baridi
Ni kikuvunja moyo nipe pano
Girl I'll never break your heart
Mi sita kufanya kama brayo
I will never break your heart
Girl I'll die for you ah aah
I'll die for you ah aah
I'll never lie to you ah aah
I'll lie for you ah aah
Mtoto moto zaidi
Njoo tuchape photo saa hizi
Unanipandisha joto zaidi
Ukiongeza tempo oh no noo
CHORUS
My lover,( Unaniosha kama vikombee !)
My lover, (Ndio maana nakufuata kama Ng'ombe!)
My lover, (Unanilegeza kuliko pombe!)
My lover, (Hii moyo ni yako chukua)